July 16, 2021

6 COMMENTS:

  1. Hatuja wazaa Hawa vijana Lakini kwa hili Coach kapepesa wengi Ni over 23 msituzuge,Kama anataka tusonge mbele Kama siyo kuendelea aite Under 23 ya kweli ,na Ina maana gani Kocha huyo huyo Team ya Wakubwa na huyo huyo ya u23 mbona hii tabia hamuikemei? Dunia nzima huu utaratibu upo TFF.

    ReplyDelete
  2. Heeeeee!!!! Hii timu ni ya under 23 au under 33???

    ReplyDelete
  3. Reliant Lusajo Under 23? Chuo kamaliza akiwa na miaka mingapi? Toto Africa kacheza akiwa na miaka mingapi? Yanga kacheza akiwa na miaka mingapi?

    ReplyDelete
  4. Lusajo Reliant Under 23? Chuo kamaliza akiwa na miaka mingapi? Toto Africa kacheza akiwa na miaka mingapi? Yanga kacheza akiwa na miaka mingapi?

    ReplyDelete
  5. Soma vizuri habari kuna wachezaji 3 waliozidi umri wa miaka 23 ikiwemo Lusajo wameekewa nyota

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic