Makundi ya CECAFA 2021 huku Simba ikithibitisha kwamba haitashiriki mashindano haya maarufu kwa jina la Kagame.
Kundi A
KCCA FC
Le Messager Ngozi
KMKM FC
Kundi B
Azam FC
Atlabara FC
Tusker FC
Kundi C
Yanga
Nyasa Bio Bullet FC
Express FC
Kundi A
KCCA FC
Le Messager Ngozi
KMKM FC
Kundi B
Azam FC
Atlabara FC
Tusker FC
Kundi C
Yanga
Nyasa Bio Bullet FC
Express FC
Kila la kheri ktk bonanza au ndondo iliyochangamka, mnachosha wachezaji bure tuu hakuna cha maana hapo wajanja walitaka kupiga hela kwa mgongo wa simba na yanga ila sasa wameula wachuya. Hawatawaona hata watoto wa mitaani huko viwanjani hata ikiwa hakuna kiingilio.
ReplyDeleteMashindano yanafanyikia wap
ReplyDeleteWache wapumzike kazi walioyafanya ya kuzoa makombe ilikuwa ngumu sana kwa muda wa misimu mine mfululizo. Wapumzike kujitayarisha kwa misimu ijayo iwe ya heshima na kuonesha kuwa si mabingwa wa bahati lakini wakustahiki na siyasa ileile ya kutokuropokwa na kulalamika kwa kila kitu
ReplyDeleteMashindano yanqfanyika hapa dar
ReplyDeleteAfadhali tumejiondoa mitimu mingine humo inakamia sana badala ya kucheza soka la kuvutia wanacheza judo na karate mwishowe watatuumizia wachezaji wetu waliozoea kimataifa soka la soft touch,asikwambie mtu Simba raha,simba next level.
ReplyDeleteNext level gan wanakimbia michezo ya kimataifa?
ReplyDeleteHii ilikua sehemu nzuri ya kujipima na team za nje
Mbona wao walianzisha kombe la mbuzi la team 3, we ulisikia wapi mfungaji bora ilikua na magoli mawili(2)?
ReplyDeleteFa mfungaji Ana goli tatu.
Delete