Dk 90+3 Bocco goal
Dakika ya 90+2 Bocco anachezewa faulo ndani ya 18 inakuwa penalti
Dakika ya 82, Dilunga anaingia anatoka Chama
Dakika ya 76 anatoka Ame anaingia Kened
Dakika ya 70 Bwalya anatoka anaingia Bocco
Dakika ya 67 Mugalu anafunga bao la tatu ikiwa ni la 15 kwake
Dakika ya 62 Fakhi anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 59 Steve Duah anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Luis
Dakika ya 56 Namungo wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 55 Mugalu anafanya jaribio linaokolewa na Jonathan
Kipindi cha pili
Mapumziko
Dakika 45 zimekamilika zimeongezwa 2
Dakika ya 39 Kichuya anaingia kuchukua nafasi ya Eric Kwizera
Dakika ya 37 Shamte Haruna wa Namungo anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 25 Mugalu anapachika bao kwa shuti kali ambalo limemshinda mlinda mlango Jonathan Nahimana.
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba leo Julai 18 amefikisha bao lake la 13 baada ya kufunga bao la kuongoza mbele ya Namungo.
Mchezo huu wa Ligi Kuu Bara Simba ambao ni mabingwa wa ligi wanapambana na Namungo FC.
Ilikuwa ni dakika ya 18 Kagere alipachika bao hilo kwa pasi ya Chris Mugalu.
Matopolo mambo hayo leo au ndio Dodoma na Mnyama wamenunuwa mechi. Sasa tunangoja kwa hamu pale mtapompiga mnyama juu ya mshoni
ReplyDeleteSaafi sana wekundu wa msimbazi this is cmbaaa my brother
ReplyDelete