MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21kwa sasa upo namna hii na ile lala salama imeshameguka hivyo kilichobaki ni maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22 ndani ya Tanzania
Kwa wenye uelewa nisaidieni, timu zipi zinashuka straight na zipi zinacheza ply off?
ReplyDeleteGwambina, Jkt Tz, ihefu, Mwadui alafu zinazosubiri kucheza playoff ni Coastal Uniun na Mtibwa Sugar
ReplyDelete