July 3, 2021


 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu leo ni miongoni mwa Watanzania ambao wanashuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga.

Samia mwenye sera ya kazi iendelee ni moja ya viongozi ambao wanapenda michezo na kuona matokeo chanya katika kila jambo.

Hivyo leo anakuwa pamoja na Watanzania kushuhudia mchezo wa dabi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Mashabiki wengi wamejitokeza Uwaba wa Mkapa kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi.

2 COMMENTS:

  1. Tunampongeza Rais wetu kuungana nasi katika kuangalia mechi hii. Naamini naye ni mpenzi mmoja wa mechi zinazocheza leo

    ReplyDelete
  2. Ahsante Sana Chama langu la Yanga kuumpa Rais wetu zawadi ya ushindi ameondoka nao.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic