July 3, 2021


FT Simba 1-0 Yanga

Zinaongezwa dk 4

Dakika ya 90 Saido anaingia akichukua nafasi ya Kisinda 

Dakika ya 88 nahodha wa Simba John Bocco anafanya jaribio linakwenda nje


UWANJA wa Mkapa
Dk 85 Feisal anatoka anaingia Makapu
Dk 83 Mugalu anaingia anatoka Lwanga
Dk ya 73 Shikalo anaokoa majalo
Dk ya 69 Kagere ndani anatoka Chama
Dk ya 68 Luis anafanya jaribio linakwenda juu ya lango
Dk 63 Nchimbi anaingia anatoka Kaseke
Dk 52 Morrison anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dk 50 Shikalo anaanzisha mashambulizi baada ya Lwanga kupiga shuti nje ya lango

Dk ya 49 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa

Kipindi cha pili kimeanza

Nyoni anatoka anaingia Bwalya

Simba 0-1 Yanga

Mapumziko 

Zinaongezwa dk 3 kukamilisha kipindi cha kwanza

Dk 45 Morrison anacheza faulo

Dk ya 44 Onyango anafanya jaribio linakwenda nje ya lango

Dk 42 Bocco anafanya jaribio kwa pasi ya Kapombe ngoma inakuwa ngumu kwao 

Dk ya 40 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Manula

Dk ya 36 Yacouba, Chama, Luis wanaonekana wakigombania mpira, Fei anaonyeshwa kadi ya njano

Dk ya 35 Bocco anafanya jaribio kwa pasi ya Chama inaokolewa na Farouk

Dk 30 30 Kibwana anapewa huduma ya kwanza

Dk ya 27 Bocco anagongana na Kaseke mwamuzi anaamua ipigwe faulo kwa Mkapa kuelekea kwa Manula

Dk 26 Zimbwe anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kisinda

Dk ya 22 Yacouba anachezewa faulo na Kapombe

Dk ya 20  Adeyum anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Shomari 

Dk 19 Yacouba anafanya jaribio linakwenda nje ya lango

Dk ya 18 Zimbwe anapiga shuti linakwenda nje ya lango

Dk ya 16 Chama anatengeneza pasi ndani ya 18 haileti matokeo

Dk 14 Simba wanapata kona ya kwanza

Dk 11 Goooal Zawad Mauya

Dk 11 Kaseke anapiga kona ya nne Manula anaokoa

Dk 10 Bocco anamchezea faulo Mukoko

Dk 9 Kisinda anachezewa faulo na Onyango

Dk 7 Morrison anachezewa faulo

Yanga wanapata kona tatu kipindi cha kwanza

Dk ya 5 Mukoko Tonomne anapewa huduma ya kwanza.


Dk ya 4 Nyoni anamchezea faulo Feisal


Dk ya 3 Yacouba anafanya jaribio la kwanza linakuwa kona

11 COMMENTS:

  1. Refa hiyo penati huoni

    ReplyDelete
  2. Wale wanaoshangilia kwa kumsikiliza mropokaji wa Cimba, Hiyo ndio derby

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hehehe...mdakeni mtopokaji wenu asije kuanguka avunjike pua

      Delete
  3. Hiyo ndio Yanga tff fc wasingeoangiwa matokeo wasingechukua kombe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kombe gani walilochukua, endeleeni kuamini hivyo hivyo

      Delete
    2. Utopolo washachukua ubingwa

      Delete
  4. Kipofu kaona mwezi sasa hatupumui

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utopolo wamefurahi kana kwamba wamechukua ubingwa..... Nyambafu..!!!?

      Delete
  5. Hakuna asiefurahia ushindi acheni kujipa moyo, mmepigwa jipangeni kwa mechi zijazo

    ReplyDelete
  6. Sio kombe tu,chukueni hata jagi, ila Yanga sio faraja. Mmepigwaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic