July 30, 2021

7 COMMENTS:

  1. Ukiangalia picha ya uongozi wa Yanga kwenye kesi ya Morrison utajua kuwa baada ya timu ya Yanga kufeli uwanjani licha ya ahadi nyingi nzito walizozoahidi msimu huu kuwa watafanya vizuri na kubeba makombe lakini mwisho ya siku Yanga wameangukia pua. Kwa hivyo kesi ya Morrison ndio imegeuzwa mafuta mazuri ya kuzibia uvundo wa kufeli unaowazunguka viongozi wa Yanga kwa wanachama na mashabiki wao baada ya ligi kwisha.Na kwa kiasi fulani inafanya kazi kweli kweli kwani mashabiki wa Yanga sasa baada ya kuuliza viongozi wao kwanini timu yao imeshindwa kubeba ubingwa kama viongozi wao walivowaahidi, Mashabiki hao wa Yanga sasa wanademka kwenye mitandao wakichekelea kesi ya Morrison Kana kama wameshindwa kesi tayari. Ukiangalia wale viongozi wa Yanga na mawakili wao utagundua ni(PR)Zaidi ili kuwaridhsha mashabiki wao baada ya timu yao kufeli vibaya msimu huu hata huko kimataifa wamebebwa na Simba.Ukiangalia viongozi wa Yanga wamejaa husda na roho mbaya zidi ya Simba na ndio maana Yanga hawatoboi. Yanga Bila kukubali kuwa Simba kawatangulia kisoka hivi Sasa basi hawawezi kujifunza na kufaidika na chochote kutokana mafanikio ya simba hata wasajili wachezaji gani na hata kimataifa watatolewa raundi ya Kwanza tu. Wa
    Wanaendelea
    Simba kuvunja rekodi zote nchini kuanzia kujanza uwanja,kutoa Wachezaji Bora ndani na nje ya ligi yetu,kuvunja rekodi kubwa ya mauzo kwa wachezaji wao nakadhaika nakadhaika Yanga wao bado wanahangaika jinsi gani wataihujumu Simba ianguke. Wahenga wanasema huwezi kumnenepesha ng'ombe wako aliekonda kwa kumuhusudu ng'ombe wa jirani alienona. Unatakiwa kujifunza ikiwa kwa Siri au shahiri njia zilizomfanya ng'ombe wa jirani kunona. Lakini ukibakia kununa na kuendeleza roho kwanini ng'ombe wa jirani kunona basi na wewe mwenyewe utakonda pia. Ukiangalia uongozi wa ukekalia kimajungu zaidi kuliko ushirikiano. Ukiangalia Senzo ana bifu lake kufukuzwa Simba kwa hivyo anataka kulipa kisasi kupitia kesi ya Morrison. Injinia Hersi mafanikio ya Simba kwake yeye ni aibu anamani hata simba ipotee kwakuwa Simba imevua nguo kauli zake za ahadi za ubingwa no kwa Yanga msimu huu. TFF Nao wanatakiwa kuwa makini na baadhi ya viongozi wanaodhamiria kurejesha nyuma jitihada zao kunyanyua mchezo wa mpira nchi. Injinia alikuwemo kwenye kamati ya saidia kaizar chiefs kumuondoa Simba Klabu bingwa Africa. Unajua Kuna Mambo tunayanyamazia kimya ila yanaweza kumlisha mtoto wa kiume udongo,yanatia kichefuchefu. Kama kiongozi anashindwa kuonesha uzalendo kwa Mtanzania mwenzake basi uongozi wa mtu huyo unamashaka na tunakoelekea si Salama kwa manufaa ya Taifa.

    ReplyDelete
  2. Risala yako ndefu nani unamwandikia, Kwani kesi imepelekwa lini? Stick kwenye point ya msingi

    ReplyDelete
  3. Mwanzo si ulisema Viongozi wa Yanga wanadanganya hamna kesi CAS, sasa mbona unageuka mtetezi we subili hukumu itolewe maisha yaendelee

    ReplyDelete
  4. Na kweli hiyo siyo Risaka tu Ni hotuba,anabore saaana

    ReplyDelete
  5. Halafu Wapenzi wa Yanga Wana akili ,hii Ligi ilikuwa Kama mashindano ya Miss Tanzania

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic