Simba inaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga, Julai 3, Uwanja wa Mkapa. Matola amesema kuwa haitakuwa rahisi kupata matokeo kesho mbele ya KMC ila watapambana ili kufikia lengo lao la kutwaa ubingwa mapema.
IMEVUJA: Julai 25 mtu anapigwa 4G
ReplyDelete