VIDEO:KMC YATAZAMA MECHI 30 ZA SIMBA, KESHO HAWANA WASIWASI
KOCHA Msaidizi wa Klabu ya KMC, Habib Kondo ameweka wazi kwamba kesho wataibuka na ushindi mbele ya Simba kwenye mchezo ambao watacheza nao Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku pia ameongeza kwamba alitazama mechi 30 ambazo Simba imecheza hivyo hawana mashaka juu ya mchezo wa kesho.
FOOTB IS A GAME OF MISTAKE
ReplyDelete