VIDEO: MATOLA: MCHEZO WETU DHIDI YA YANGA HAUTAKUWA RAHISI
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Yanga yanakwenda vizuri na anafikiri kuwa mchezo wa dabi hautakuwa rahisi lakini wamejiandaa kupata pointi tatu na amewataja wachezaji wawili ambao wataukosa mchezo wa kesho kuwa ni Ibrahim Ajibu na Jonas Mkude.







0 COMMENTS:
Post a Comment