BEKI wa kati wa kikosi cha Yanga, Abdalah Shaibu,amesema kuwa hawataruhusu kufungwa na Simba kesho Uwanja wa Mkapa na wamejipanga kupata pointi tatu muhimu.
Kesho Julai 3,2021 Yanga itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba ambayo nayo inahitaji pointi tatu pia.
Anaend na matokeo yake ..... Kwanza huyu akicheza kuna uwezekano mkubwa wa kupata red card au kusababisha penati au vyote viwili.... Kama mnabisha subirini mtaona
Unajitiidi kutengeneza unayo hitaji .
ReplyDeleteWasaidiwe na kamati ya ufundi maana uto kwa kupuliza wako vzuri
ReplyDeleteAnaend na matokeo yake ..... Kwanza huyu akicheza kuna uwezekano mkubwa wa kupata red card au kusababisha penati au vyote viwili.... Kama mnabisha subirini mtaona
ReplyDeletehalafu zikitokea hizo penati au red card badala ya kulaumu wachezaji wao utasikia TFF imewabeba Simba
DeleteWe paka
ReplyDelete