UONGOZI wa Yanga umemshtaki Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa kutoa kauli ya 'kuokotwaokotwa' ambapo awali ilitakiwa kesi hiyo kupelekwa mahakamani.
Kama darasa la chekecheya. "mwalimu, Adija anasema mimi chizi sifahamu kitu" na yote hsya yanarejeya kumpa Mzee Mpili shilingi milioni moja. Wanaona Mpili kaifedhehesha yanga ambayo ni klabu kubwa na tena tajiri, katoka ikwiriri mpaka Dar Salam kumfat Haji Manara kuchukuwa hela. Walitaka azikatae. Yaguju. Sasa wataanza kumuandama kuwa kajirahisi na kairahisi Yanga
Kweli hilo ndio jambo lenyewe watasema kaisaliti Yanga na hasa pale watapochezea kiboko hiyo tarehe 25 na vile leo Mnyama anatangaza ubingwa wake kwa mara nne mfululizo
Simba Bingwaaa jamani na mwakau unaokuja pia Mnyama iwe kwa mara ya tano eti mpaka wiki mbili nyuma wakidanganyana kuwa ubingwa ni wao na wakisadiki kwasababu mpaka kocha wao pia skiwapa tamaa
Kikichozuia wasipeleke mahakamni ni kipi? Wapeleke hata FIFA
ReplyDeleteKama darasa la chekecheya. "mwalimu, Adija anasema mimi chizi sifahamu kitu" na yote hsya yanarejeya kumpa Mzee Mpili shilingi milioni moja. Wanaona Mpili kaifedhehesha yanga ambayo ni klabu kubwa na tena tajiri, katoka ikwiriri mpaka Dar Salam kumfat Haji Manara kuchukuwa hela. Walitaka azikatae. Yaguju. Sasa wataanza kumuandama kuwa kajirahisi na kairahisi Yanga
ReplyDeleteKweli hilo ndio jambo lenyewe watasema kaisaliti Yanga na hasa pale watapochezea kiboko hiyo tarehe 25 na vile leo Mnyama anatangaza ubingwa wake kwa mara nne mfululizo
ReplyDeleteSimba Bingwaaa jamani na mwakau unaokuja pia Mnyama iwe kwa mara ya tano eti mpaka wiki mbili nyuma wakidanganyana kuwa ubingwa ni wao na wakisadiki kwasababu mpaka kocha wao pia skiwapa tamaa
ReplyDeleteHivi hii post ina uzito kuliko Simba kutwaa ubingwa leo? Salehe Jembe nahisi kama ushabiki umezidiwa na busara au umakini wa ku blog
ReplyDeleteNashangaa hawa wamiliki wa hii blog wameganda na huu utopolo wakati leo kulikuwa na mechi na watu wamebeba ndoo.
ReplyDeleteSIMBA BINGWA 2021
ReplyDeleteKama hawajajituliza basi Manara huyu ataendelea kuwarusha akili. Nawashauri wafungue idara ya mashtaka na eengine waishugulikie timu kimaendeleo
ReplyDelete