VIDEO:SIMBA KUMALIZA HASIRA ZAO MBELE YA KMC,DJUMA KIMEELEWEKA YANGA
SIMBA leo Julai 3 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara huku ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa.
Typing error july 3
ReplyDelete