KIPA namba tatu wa Yanga, Ramadhan Kabwili leo Julai 18 ameanza kikosi cha kwanza katikq mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Kabwili kuanza kikosi cha kwanza mbele ya Dodoma Jiji.
Yanga ikiwa imecheza jumla ya mechi 33 alikuwa hajapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza hivyo leo anafunga hesabu.
Nafasi ya kwanza ilikuwa inachukuliwa na Metacha Mnata na ile ya pili ilikuwa mikononi mwa Faroukh Shikalo.
0 COMMENTS:
Post a Comment