NYOTA wanne waliokuwa wanakipiga ndani ya Azam FC sasa ni ruksa kujiunga na timu yoyote bure baada ya kutopewa madili mapya ndani ya Azam FC na sasa wapo huru.
Mpiana Monzinzi ambaye alikuwa mshambuliaji ndani ya kikosi cha Azam FC ilikuwa ni ingizo jipya sawa na kiungo Ally Niyonzima.
Wengine ni mshambuliaji Obrey Chirwa ambaye alijiunga na Azam FC 2018 pamoja na beki Yakub Mohamed alikuwepo ndani ya Azam FC tangu 2016.
Kwa sasa nyota hawa wanne wanaweza kujiunga na timu yoyote Bongo kwa kuwa hawajapewa madili mapya ndani ya Azam FC.
Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Azam FC imeeleza kuwa wamefikia makubaliano kwa pande zote mbili na kufikia makubaliano ya kila mmoja kuendelea na michongo yake.
Uungwana mkubwa
ReplyDeleteHaya sasa Utopolo majembe hayo mshindwe wenyewe
ReplyDeleteBaadhi ya hao wachezaji sio magarasa kama mitazamo ya watu wengi ilivyo,ni wachezaji wenye uwezo mkubwa tu ili mradi wapate muda mwingi wa kucheza,nina imani Alli Niyonzima na Mpiana Monzinzi bado uwezo wao ni mkubwa tu
DeleteMikia ya kenge
DeleteKama mkia unaoning'inia matakoni kwako
DeleteCoastal iwachukue hawa wachezaji wakasaidie kuwapa support vijana maana ni timu kubwa na yenye uwezo wa kuwakimu hawa wachezaji iwapo tu itaamua kujipanga maana kama wameonesha wanaweza kufanya jambo katika kupambana kuepuka kushuka daraja basi wanaweza pia katika kuiendesha timu ikiwa ligi kuu tatizo ni kukosa hamasa baina ya viongozi,wanachama na wadau wengine
ReplyDeleteCoach ypo sahihi hawana jmbo nw timu inahtaji kufnya makubwa zaid
DeleteUsjli wakina ufnyike wtu wakaz waletweee mashabiki tufrahie nasie azam sio timu ndgo pesa itumike
ReplyDelete