Klabu ya Yanga leo Julai 8, 2021 imetozwa faini ya Shilingi Milioni 3 kwa kufanya makosa kwenye mechi dhidi ya Simba SC Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.
Kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu.
° Kutumia mlango wa chumba cha waandishi wa habari badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu.
° Kuingia uwanjani kupasha misuli kwa kutumia mlango ambao haukupangwa kutumika kwa namna yoyote.
° Kutumia chumba cha wafanya usafi wa uwanja kubadilisha nguo badala ya chumba maalum cha kubadilishia nguo.
Na pia klabu ya Yanga inatakiwa kulipa Shilingi laki nane na nusu (850,000) ikiwa gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjwa wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli ya uwanja wa Benjamin Mkapa yaliyoharibiwa katika tukio hilo.
Mpaka mageti wamevunja, duuh!!
ReplyDeleteUshirikina mtupu. Nashngaa kocha huyu mwarabu kaingizwa vipi kwenye mambo ya kishirikina. Yanga waende Misri au Zambia alafu watumie milango ya nyuma kuingia uwanjani? Hapa ndipo wanapofeli Yanga wameekeza kwenye Imani za kichawi zaidi kuliko taaluma ya mpira.
ReplyDeleteSafari hii tuliwakamata kila kona,zile figisu figisu zenu za kupuliza dawa za kunyong'onyeza miili zilidhibitiwa sasa kilichobaki na kulipizana visasi kupitia kwenye kamati zenu za zengwe
ReplyDeleteHilo goli moja walilolipata dhidi ya Mnyama litakuwa kama lile la Morrison kwa mwaka mzima kukumbukwa saa 24 hawakunyamaza mpaka alipowakimbia na hili ndio itakuwa vilevile
ReplyDeleteujinga tu. Hivi wakienda nchi za nje nako watakuwa wanavunja magaeti na kupita wanakotaka wao?
ReplyDeleteJe nao waliovunjaga viti
ReplyDeleteMikia pwaaaas usanihi mnadhani Goli litarudi kwa faini piga hata 10m mtaendelea kufunga hayo matawi yenu
ReplyDeleteGoli lenyewe wamesaidiwa na Shomari Kapombe na wala si Zawadi Mauya
ReplyDeleteBora ya faini kuliko kudharilika na mapka fc
ReplyDeleteHiyo ndio faida ya kuabudi uchawi, kigagula mpili kawaponza.
ReplyDeleteUfike mahali Kabul zetu kubwa zijielewe nagano yanga bado kidogo wapo kwenye kipind kigum bila kujiua
ReplyDeleteBodi ya ligi wanalipiza goli kwa kupiga faini hahaha goli limeumiza watu hili maskini weee
ReplyDelete