SIMULIZI ya mume aliyekuwa akipigwa na mkewe kila wakati.
Ama kwa hakika ndoa hua rahisi kwa mtu ambaye hajawahi ingia kwenye ndoa. Kwa ufahamu wangu suala zima la ndoa ni ngumu sana haswa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na kazi nzuri kuliko wewe kama mume.
Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo watu wengi huwa hawazungumzii kwa undani kwa kuogopa kuchekwa na marafiki wao wa karibu wao husahau kwamba wanapozungumza msaada unaweza kuja kwa wakati wowote. Kati yao nilikuwa mwadhirika.
Niliishi na mke wangu Cate kwa furaha hadi wakati ambapo alianza kuninyoosha kwa makonde nisijue hata pa kukimbilia kila usiku. Alikuwa ni mwanamke ambaye mwili ulikuwa umemkubali ajabu.
Alikuwa ni Polisi na mimi nilikuwa ni dalali wa kuuza maji mjini Kakamega. Marafiki zangu walinikataza wakati mmoja kwamba mwanamke yule angeniangusha lakini yote yalipata sikio la kufa.
Mapenzi yalikuwa yamenoga na hakuna chochote nilikuwa nasikia isipokuwa Cate.Kila mara alipotoka kazini nalifika nyumbani na kuanza vurugu. Kwa vile nilikuwa na mwili mdogo alinizaba nisijue hata la kufanya kwa vile ningekimbilia kwa majirani wangenicheka na kuniita mwanaume bwege.
Maisha yale ya ndondi yalikuwa yamenifikisha ukingoni na sikuwa na chochote cha kufanya kwani upendo wangu kwa mke wangu ulikuwa kwenye wimbi lingine.
Wakati mwingine hata alinipa nguo zake nimfulie na hapo nilitilia maanani na kuzifua zikiwemo hata nguo zake za ndani.
Wakati mwingine majirani walimsifia kuwa alikuwa keshapata mume mzuri ambapo kwa mara nyingi waliniona hata nikifua mavazi ya mke wangu bila hata ya uoga na nisingefanya vile usiku ule ningelala kwenye baridi kali.
Mgeni alipoingia nyumbani mimi ndiye nilikuwa nawajibika kupika chai na hata kumkaribisha nyumbani jambo lilikuwa kinyume na matarajio ya mila na desturi za Waafrika.
Ama kwa hakika Cate alikuwa amenikalia na sikuwa na lolote la kufanya ili kujikwamua kutoka kwenye minyororo ile kwa ajili ya mapenzi yangu kwake.
Jambo lililonikosesha usingizi kabisa ni mke wangu kuninyima hata haki yangu ya tendo la ndoa. Alikuwa mbabe na kila mara nilipomuuliza alifoka kweli na kichapo kingefuatia. Hali hii iliniweka mimi kuanza kutamani wanawake wa watu na hata wakati mwingine nilichukua hatua mkononi mwangu.
Sikuwa na nafasi hata ya kwenda kuona mpira na marafiki wangu kwani siku moja niliona cha mtema kuni aliponipiga kitutu niliporejea nyumbani nikiwa nimechelewa sababu ikiwa nilikuwa nimetoka kuangalia mchuano maridhawa kati ya Manchester united na Chelsea.
Sitasahau siku ile kwani uso wangu ulijaa makovu ya ndondi alizoninyooosha. Siku moja nilimtembelea rafiki yangu Kanini na kumweleza shida nilizokuwa napitia kwenye ndoa ile. Hakusita na kusema yeye pia alikuwa na shida sampuli ile lakini daktari Kiwanga aliizika kwenye kaburi la sahau.
Siku iliyofuatia nilifunga safari na kuelekea kwa daktari Kiwanga kwa ajili ya usaidizi. Niliilezea shida nikizokumbana nazo na bila ya kupoteza muda wowote alinishughulikia na hapo akaniruhusu nirejee nyumbani.
Nilifahamu fika kwamba ningepigwa na mke wangu kwani nilikuwa nimechelewa kwani ilikuwa ni saa nne usiku nilipokuwa naingia kwenye nyumba.
Nilishangaa kwani alinifungulia mlango kwa upole na kunikaribisha. Aliniandalia maji ya kuoga na hapo nilipotoka maliwatoni chakula chajioni kilikuwa tayari.
Alikuwa amevalia sketi fupi iliyonipa msukumo wa kumrukia na kuanza shughuli nzima. Ama kwa hakika daktari Kiwanga alikuwa kisha nipa mwamko mpya kwenye ndoa yangu. Baada ya hapo mapenzi yalinoga ajabu na hapo nilipata haki yangu ya ndoa na kutoa njaa ya miezi minne niliyokuwa nayo ya kushiriki.
Baadaye mke wangu aliniomba msamaha na maisha yetu yakawa ya kutamaniwa na majirani. Daktari Kiwanga ni mwanamitishamba ambaye ana uwezo wa kukabili matatizo mbalimbali.
Anauwezo wa kutibu magonjwa kama vile ugonjwa wa kisukari, msukomo wa damu na kifafa kwa siku tatu pekee. Wasiliana naye kwa nambari ya simu +254 769404965, ama barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Siku hizi mna post matangazo ya Biashara, Tena ya Waganga wa Kienyeji.
ReplyDeleteNaona michezo imewashinda sasa wanataka kuhamia kwebye habar za waganga wa kienyeji
Delete