August 25, 2021

5 COMMENTS:

  1. Kwa simba ili kukata kiherehere Cha Manara ndani ya Yanga ni kuwafunga Yanga kila tutakapokutana na Yanga. Hakuna msimu bora kwa simba kuwafunga Yanga kama msimu huu hata viongozi wakifanya marekebisho yasajili kukijaza nyama kikosi kwa sajili Moja matata ili kukiboresha kikosi zaidi dakika hizi mwisho sio zambi, nguvu na uwezo tunao wa kufanya hivyo.
    Yanga wameamua kuanzisha ligi nje ya Uwanja mapema tu.Simba kitengo Cha propaganda kazi ni rahisi ni kumtumia Manara yule yule wa kejeli na dharau wa Simba kwenye mitandao kuwavuruga Yanga mapema tu kabla ligi kuanza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndo akili yako inakuambia hivyo ee?nkuombe usikariri,mwaka huu ni wa wananchiiiiiiiiii

      Delete
  2. Manara karibu nyumbani. Zamani niliwaambia huyu ni mwemzetu. Sasa ni wakati muafaka ukabidhiwe mikoba ya mzee Mpili. Najua huna uzoefu huku lakini ipo kansti ya mazingaza itakuwa pamoja nawe hadi usimame. Nina hakika ukija upande huu wa uchawi tutawapiga Simba nyingi tu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic