August 3, 2021

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao amesema kuwa kutokana na matokeo ambayo wanayapata kwa timu za vijana wanaona mwaga hasa kwa upande wa mpira. 

Pia ameweka wazi kuwa TFF inashiriki kwa ukaribu kufuatilia afya ya Gerlad Mdamu ambaye alipata ajali akiwa na timu yake ya Polisi Tanzania. Kwa sasa Mdamu yupo Hospitali ya Muhimbili akiendelea kupewa matibabu baada ya kuvunjika miguu yote miwili.

 

1 COMMENTS:

  1. Ni muhimu sasa wachezaji wote wa premier na first division wakakatiwa bima ya afya wote na iwe lazima

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic