August 2, 2021


SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kwamba wanaweza kuchukua ubingwa wa Kombe la Kagame ikiwa wataongeza juhudi huku akiamini kwamba wakiongezwa wachezaji wengine wenye uwezo kama Dickson Ambundo wanaweza kupata nguvu kubwa ya kushinda taji hilo.Pia Daud ameweka wazi kuwa usajili wa Ibrahim Ajib hakubaliani nao. Usajili wa Fiston Mayele pembeni kuwepo kwa Tuisila Kisinda na Balama Mapinduzi wataleta utofauti.

 

1 COMMENTS:

  1. Porojo halina kichwa wala miguu, huyo akichaguluiwa kiongozi nini unachokitaraji

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic