August 6, 2021

6 COMMENTS:

  1. Hayo ni matamanio ya utopolo, anajiondoaje mtu mwenye hisa nyingi, propaganda za kindezi zilizoratibiwa na utopolo na qzam kupitia kwa yule mlemavu wa mwili na akili

    ReplyDelete
  2. Nimesoma gazeti la habarileo yanga kama kawaida yao wanalia kuonewa na marefa cecafa, duh! Hii timu sasa ni aibu. Hivi huwa wanataka wapewa upendeleo gani hawa matopolo? Hata cecafa karia anahusika?

    ReplyDelete
  3. Simba walikuwa wananunua waamuzi ndo maana wakawa mabingwa. Sasa Simba hayupo Kagame sijui hujuma wanafanyiwa na nani? Yanga tulieni mara "CAS na Morrison", "Mzee Mpili", "Haji Manara" sasa Kagame waamuzi wanawaonea kwa kweli tumechoka na story hizo.

    ReplyDelete
  4. Sare wanazoshona wasubiri ligi ikianza ndo wavae maana na wao watakuwa ndo wanafungua shule

    ReplyDelete
  5. ndiomana BM3 akasema chura anaweza akawa ndani ya maji lakini bado akahisi kiu ya maji,yanga wanajitahid sana kutumia nguvu kuwahadaa washabiki wao ila mungu atawaumbua.cas keshokutwa tu sio mbali.timu inalalamika mpaka inatia aibu kwanin hawampeleki mzee mpili akaupige mwingi kama alivyodai mwenyewe kwamba aliupiga mwingi kwenye derby.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic