September 10, 2021


 BREAKING: UONGOZI wa Simba umemtambulisha Hitimana Thiery, kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.


Taarifa ambayo imetolewa leo kupitia ukurasa wa Instagram wa Simba umeeleza kuwa unahitaji kufika mbali katika mashindano ya kimataifa.

Atafanya kazi kwa ushirikiano na Kocha Mkuu wa sasa Didier Gomes ambaye ni raia wa Ufaransa. 

Hitimana ambaye ni raia wa Rwanda aliwahi kuifundisha Namungo FC pamoja na timu ya Mtibwa Sugar.

16 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Bonge la kocha Simba wana jicho la kuona ila nalia na mtibwa ningetamani abakie Mtibwa sugar. Huyu ni kocha hasa sio blah blah na ni mtaalam wa soka la Bongo kama alifanya makubwa na bajeti finyu kule Namungo hapa Simba ataua Sana.. Kazi njema THIERY,Simba wamechelewa kuingiza kwenye kikosi la sivyo champion league iliopita wangefikia malengo yao ya nusu fainali.

      Delete
  2. Karibu sana coach, uungane na mabingwa wa nchi, wana lunyasi, pira biriani...mpira wa kuvutia na ubingwa kama kawaida yetu

    ReplyDelete
  3. Huyo ni kocha muaminifu na sio wale wanaouza timu zao

    ReplyDelete
  4. Nakaribisha Club ya viwango japo cjajua kuhusu waliopo mmoja ataondoka ama lah! Ni nguvu moja katika kuimarisha kikosi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Gomes yupo bado huyu Thiery ni msaidizi ili aweze kusimamia benchi la timu kwenye gemu za CAF wakati Gomes akiendelea kukamilisha mafunzo yake. Nduyo sababu Kamwaga amethibitisha hadi January 2022 Gomes atakuwa ameshakamilisha kozi

      Delete
  5. Simba tamu sana ni viwango vya halo ya juu

    ReplyDelete
  6. Yuko poa...Safi sana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic