September 10, 2021


SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika CAF limeiruhusu Klabu ya Yanga kuruhusu uwepo wa mashabiki wake siku ya mchezo wao wa hatua ya awali katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.


Yanga  itacheza dhidi ya Rivers United ya Nigeria na mchezo utachezwa siku ya Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa.


Taarifa za awali zilikuwa zinasema kuwa mchezo huo utachezwa bila mashabiki,lakini taarifa ya jioni ya  imekuja na kubadilisha muelekea wa mchezo huo hivyo Jumapili Mashabiki wataruhusiwa kuingia uwanjani .


Ni buku tano mzunguko, buku 10 VIP C, buku 20 VIP B na buku 30  VIP A hii ni bei ya kiingilio katika mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

7 COMMENTS:

  1. Mbeleko Tamu👻
    Ila kutoa matusi ukiwa mgongoni laana itawapata kwa mkapa.

    ReplyDelete
  2. Safi, ili wengi washuhudie LIVE kipigo kutoka kwa Wanaijeria

    ReplyDelete
  3. Dua la makoro halimpati mwananchi.

    ReplyDelete
  4. Sawa tuwashukuru mashabiki wa simba,lakini usitukane mamba hujavuka mto

    ReplyDelete
  5. Hamna mashabiki kuingia.Wacheni kusikiliza redio mbao za Kitenge na Msukule.Vunjeni agizo muone moto.Mnafikiri ni TFF?

    ReplyDelete
  6. hiyo ni CAF na si TFF,, nendeni uwanjani then subirini rungu takatifu.
    mnadhan mna power kwa CAF km ilivyo kwa TFF, mtafyekelewa mbali acheni kusikiliza vyanzo vya taarifa visivyo rasmi

    ReplyDelete
  7. Mungu ibariki young Africa timu ya wananchi maana daaah wachawi ni wengi xana ila hawawez kufanikiwa coz hii ni timu ya wananchi sio kikundi cha wahuni

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic