September 26, 2021

CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC ameweka wazi kuwa kwa sasa timu hiyo haina hesabu za kufikiria mechi za Dabi zitakazowakutanisha dhidi ya Simba,Yanga na Azam FC badala yake nguvu kubwa ni kwenye mechi zote za ligi.

 Christina amesema kuwa wana imani kubwa na kikosi ambacho wamekisajili jambo ambalo linawapa matumaini ya kufanya vizuri.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic