September 11, 2021


BAADA ya taarifa ya kushtua katika familia ya michezo kuhusu kutangulia mbele za haki kwa mwanamichezo Hanspope Zakaria wengi wamekuwa wakimlilia.

Hanspope ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba alikuwa anaumwa na taarifa zake za kutangulia mbele za haki imetolewa usiku wa kuamkia leo.

Miongoni mwa waliomlilia ni pamoja na Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba, Emmanuel Okwi nyota wa zamani wa Simba pamoja na viongozi mbalimbali wa Simba ambao wamesema kuwa wameshtushwa na taarifa hiyo.


Pumzika kwa amani


11 COMMENTS:

  1. Mungu amrehemu amghafirie makosa yake na amuweke pema katika nyumba yake ya milele. Tunanamlilia na kaacha pengo katika midani ya michezo. Tunachokitaka sisi na Mungu pia akitaka

    ReplyDelete
  2. Mwandishi iheshimu Simba na Wana Simba kiujumla.Haji Manara sio ofisa habari wa Simba tafadhali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe tumia akili hata kipindi hiki cha majonzi, ni sehemu gani katika hii taarifa ya mwandishi ameandika Haji manara ni ofisa habari wa Simba? Ebu jifunze matumizi ya koma, full stop n.k. ngoja nikufundishe make umejaa usimba na uyanga kichwani tu, ameandika hivi miongoni mwa waliomlilia ni Haji Manara, Ofisa habari wa Simba, Emmanuel Okwi aliyekuwa mchezaji wa Simba na viongoz mbalimbali wa Simba. Je alipotaja manara aliendelea kuandika msemaji au aliweka alama ya mkato? Kwani ofisa habari wa simba kwa sasa humjui mpk atajwe jina kuwa Ezekiel Kamwaga? Jifunze kusoma sentensi sio unakalia uyanga na usimba na kukosoa tu kila ukionacho bila kukitafakari ona unavyojikanyaga sasa.

      Delete
    2. We nguchiro unaembishia mdau hapo juu hata kama umesoma shule ya kata lakini si kwa ukilaza huo!!Kichwa chako kimejaa makamasi badala ya ubongo,na nadhani unatumia makalio kufikiri na kutumia jicho la nyuma chini kuangalia.We unaona kabisa mwandishi ameandika "Miongoni mwa waliomlilia ni pamoja na Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba," lakini bado unabisha,sasa ina maana gani kuandika vile......sishangai utakuwa ni binti tu wewe.Yaani mijitu mingine haioni aibu hata kidogo kubishana na ukweli

      Delete
    3. Yaani hata halijui nini maana ya koma halafu linakurupuka kujifanya ni mwalimu wa lugha,
      Mwandishi alipaswa kuanza na neno "aliekuwa"na sio kumuonesha Haji Manara kwa kiwakilishi cha wakati uliopo unaoendelea.

      Delete
    4. Kakurupuka hasa, kilaza huyu. Halafu anajifanya mjuaji na mkali! Ni vema kabla hujaandika kitu uwe makini...na uelewe wenzako wana-argue kitu gani!

      Delete
  3. Nipigo kwa wanamsimbazi lakini mipango ya MUNGU Haina makosa, pumzika kwa amani jemedari wetu na MUNGU awape faraja familia na ndugu na jamaa wote pamoja na watanzabia kwa ujumla

    ReplyDelete
  4. BONGE LA PENGO, MAFIA, THE DON WA SIMBA

    ReplyDelete
  5. Kwa hakika ni pigo kwa wana familia wa soka Tanzania na hasa sisi wana-Simba kwa kumpoteza hiki CHUMA.Imeandikwa sote tunapita hapa duniani na Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihidimiwe.RIP the legend Hanspope.

    ReplyDelete
  6. Ni pigo kweli kweli daah! Pumzika kwa amani Jembe. Tutakukumbuka daima Legend wetu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic