September 27, 2021


 HATIMAYE baada ya mchezo wa ufunguzi wa Ngao ya Jamii kati ya Simba v Yanga kukamilika sasa leo Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza rasmi kutimua vumbi.

Ikumbukwe kwamba ubao wa Uwanja wa Mkapa, Septemba 25 ulisoma Simba 0-1 Yanga baada ya dakika 90 kukamilika ambapo ni bao la Fiston Mayele alipachika dk 10 lilikuwa ni bao la ushindi.

Leo Septemba 27 ratiba ipo namna hii:-

Mtibwa Sugar v Mbeya Kwanza itakuwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Namungo v Geita, Uwanja wa Ilulu.

Coastal Union v Azam FC, Mkwakwani.

6 COMMENTS:

  1. Kama muunganiko badomumewafungaje Simba

    ReplyDelete
  2. Ukicheza na timu ambayo haijui mpira, hata kama hamna muunganiko,mtaifunga tu...!!

    ReplyDelete
  3. Namaanisha MKIWA BORA KULIKO WAO, sio kwamba HAWAJUI

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic