September 12, 2021


  LEO Jumapili kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasredine Nabi kinatarajiwa kuwa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Rivers United, Uwanja wa Mkapa ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali.

Nabi ameweka wazi kuwa anahitaji ushindi kutokana na maandalizi ambayo ameyafanya lica ya mchezo kuamini kwamba utakuwa mgumu.


Baada ya mchezo wa leo Yanga inatarajiwa kumenyana tena na Rivers United Septemba 19 nchini Nigeria, hapa ni kikosi ambacho kinapewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza leo kipo namna hii:-

Diarra Djigui huyu anapewa nafasi ya kukaa kwenye milingoti mitatu leo kwa Mkapa. 

Kibwana Shomari huyu atabeba mikoba ya Djuma Shaban.

Bakari Mwamnyeto huyu ni nahodha wa Yanga. 

Dickson Job 

Adeyum Saleh 

Yanick Bangala

Tonombe Mukoko 

Jeus Moloko

Fei Toto 

Heritier Makambo



8 COMMENTS:

  1. Yani nyie waandishi hovyo kbs, hamko makini mnajiandikia andikia tu ilimradi mmeandika hata hamuelewi mnachoandika

    ReplyDelete
  2. Kila lakheri Dar Young Africa my boys bilashaka maandalizi yamekwenda poa tunatarajia soka murua na point 3 muhimu kubaki jangwani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna cha point bwana huu ni mtoano

      Delete
    2. Utopolo huwa hawana wanachoelewa, wapowapo tu kelele nyingi zisizo na tija

      Delete
    3. Uchawi tuu wasengelema huku kunawahusu nn

      Delete
  3. The Return of the UTOPOLIONS

    ReplyDelete
  4. People za yanga zinafeli sana sahivi zitalaumu nini sijui

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic