September 12, 2021


 NYOTA mpya wa Azam FC, Idris Mbombo, 'Mbombo Ngafu' jana Septemba 11 ilikuwa ni mchezo wake wa kwanza akiwa na uzi wa Azam FC kucheza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho ilikuwa mbele ya Horseed FC ya Somalia.

Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati amesema kuwa bado nyota huyo anahitaji muda ili aweze kufanya vizuri zaidi.

Rekodi zinaonyesha kuwa alitumia jumla ya dakika 87 na kufunga bao moja huku akiweza kuingia ndani ya 18 mara 39 na ni mara mbili pekee aliweza kuwa na mpira ambapo mara ya kwanza alipokwa na mabeki na mara ya pili alipachika bao la pili.

Azam FC ilishinda mabao 3-1 Uwanja wa Azam Complex.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic