Kama wao mliwahujumu hadi kuwapiga nondo watashindwaje na wao kulipiza kisasi? Wahenga walisema usitukane mamba ili hali hujavuka mto. Huyo daktari wenu atapewa corona vile vile, hii ndio Africa.
Mjiandae tu kisaikolojia,kupigwa lazima kwa hujuma mlizowafanyia Rivers united lazima na nyie ziwakute tu,kila mla cha mwenzie na chake lazima kiliwe.hakuna cha daktari wa serikali wala wa nchi,kwani walivyokuja Rivers walipimwa na serikali??mlichowafanyia wenzenu lazima mfanyiwe yani jipangeni.
Kama wao mliwahujumu hadi kuwapiga nondo watashindwaje na wao kulipiza kisasi? Wahenga walisema usitukane mamba ili hali hujavuka mto. Huyo daktari wenu atapewa corona vile vile, hii ndio Africa.
ReplyDeleteMjiandae tu kisaikolojia,kupigwa lazima kwa hujuma mlizowafanyia Rivers united lazima na nyie ziwakute tu,kila mla cha mwenzie na chake lazima kiliwe.hakuna cha daktari wa serikali wala wa nchi,kwani walivyokuja Rivers walipimwa na serikali??mlichowafanyia wenzenu lazima mfanyiwe yani jipangeni.
ReplyDeleteuna ushahidi gani wa kuthibitisha kua Yanga waliwahujumu wa nigeria ?? Yanga wanahusika nini na upimaji wa Covid-19 ?? au ili mradi uongee tu !!
DeleteIna maana hata nyinyi mliwafanyia Platinum kwa kisingizio hicho hicho. Waasisi wa mbinu as corona
DeleteTusisikie kisingizio cha hujuma
ReplyDelete