September 30, 2021

7 COMMENTS:

  1. Ila Mo haja stahafu Simba bali amestahafu kwenye nafasi yake ya uenyekiti wa bodi.kuna wapumbavu fulani wameielewa kauli ya maamuzi ya Mo ila kwa ushetani wao wanahangaika mitandaoni kupotosha Umma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naona unateseka sana! Angalia lakini, usije ukapata stroke!

      Delete
    2. Shida ya kutegemea sehemu moja, pressure tupu!

      Delete
  2. Inawezekena wewe ndo ukawa mpumbavu mwenyewe maana hujielewi,hii habari ya MO ya kutaka kujitoa MO Simba haikuanza jana,kumbuka miaka miwili iliyopita alitoa azimio gani kuhusu kujiondoa MO Simba lakini azma yake haikutimia kwa sababu ya shinikizo kutoka kwa vigogo fulani,sasa hivi ameona upepo umebadilika na kuona ndo wakati sahihi wa yeye kujiondoa,alichofanya ni kuanza kuvaa soksi kisha buti mwisho wa yote safari inaanza.
    Subiri muda utaongea.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulivyo lipumbavu bado una tongo-tongo hadi mchana ukifukunyua macho yako ukifikiri MO ni Manji...sahau na utasubiri sana wee jinga

      Delete
  3. Masikini Kolo fc wanataabika jamani!?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic