MCHEZO umekamilika Uwanja wa Mkapa na Simba imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa kirafiki.
Zimeongezwa dakika 4
Dakika ya 86, Duncan Nyoni anaingia anatoka Tshabalala anatoka Kapombe anaingia Baka
Dakika ya 85 TP Mazembe wanapachika Gooooal baada ya Manula kutoka akiokoa linapachikwa na Baptise Jean.
Dakika ya 79 Mkude anaingia anatoka Kanoute
Dakika ya 79 Kagere anaingia anatoka Bwalya
Dakikabya
Dakika ya 76 Simba wanapeleka mashambulizi TP Mazembe
Dakika ya 67 Bocco anaingia anatoka Mugalu
Dakika ya 62 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 59 Mugalu anachezewa faulo
Da
kika Ya 57 Morrison anatoka anaingia Sakho, anatoka Kibu anaingia Banda
Dakika ya 55 Kibu anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
UWANJA wa Mkapa
Simba Day
Mapumziko
Simba 0-0 TP Mazembe
Dakika ya 44 Manula anaokoa hatari katika eneo lake
Dakika ya 42 Sakho anaokoa hatari inakuwa kona
Dakika ya 40 Mbari wa TP Mazembe anaonyeshwa kadi ya njano kwa kile mwamuzi alichotafsiri kuwa amejiangusha ndani ya 18
Dakika ya 36 Sakho anacheza faulo inapigwa inaokolewa na Manula
Dakika ya 31 Kibu anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 29 Lwanga anachezewa faulo
Dakika ya 26 Mugalu anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 iliyotengenezwa na Kapombe
Dakika ya 22 TP Mazembe wanapata kona inaokolewa na Manula
Dakika ya 22 TP Mazembe wanaanua majalo yaliyomwaga na Kapombe
Dakika ya 19 Kibu anaotea na shuti lake linakwenda nje
Dakika ya 17 Lwanga anacheza faulo
Dakika ya 14 Kibu Dennis anazidiwa ujanja na nyota wa TP Mazembe
Dakika ya 11 Morrison anapiga faulo ya kwanza inaokolewa
Dakika ya 9 Manula anaokoa ndani ya 18
Dakika ya 8 Simba wanakosa ndani ya 18
Kwa Mkapa hatoki mtu
ReplyDeleteHehehe.. cha uchungu.
DeleteMechi za mashindano akifungwa njoo hapa uandike matapishi yako. Utopolo mmefungwa mechi za mashindano tena nyumbani na away.Mmetia aibu ns mnaendelea na huyo msukule wenu mtapigwa tena tarehe 25 kama tarehe 25 ya Kigoma.
ReplyDeletePu Pu kiosi cha makombe yote kilichokodiwa ndege na kuwekewa dau la bilioni ushey na kupatiwa msemaji mwenye uwezo wa ajabu wa kuwainuwa hawa na kuwaangusha hawa leo matokeo ni vikipigo baada ya vipigo. Mungu ni mkubwa
ReplyDeleteKikosi kilichozeekea kambini, mara paap kwa mkapa. Waongezewe miezi 2 kambini. Bora sisi tunajua maandalizi hafifu ndio yamechangia.
ReplyDeletewatu wa Mpili hawafanyi kazi kwenye mechi za kimataifa
ReplyDeleteKwa mkapa huaga hatoki mtu, KWAHIYO mpaka sasa yupo tu mtu pale pale hahahah makolo fc
ReplyDelete