September 9, 2021


SIMULIZI ya mama aliyekuwa akipata tabu na mwanaye

Watu wengi husema kwamba nguvu za kishetani huwa hazipo kabisa lakini hilo si kweli kwa maana mwanangu wa kiume alionyesha kuwa nguvu hizi zilikuwepo. 

Tuliishi na kijana wangu ambapo nilikuwa mama mjane hii ni baada ya mume wangu kufariki kutokana na ajali ya barabarani. Maisha yalikuwa si shwari kabisa kwani kila mara aliniuliza alikokuwa babaye kwani marehemu mume wangu alipata kufariki dunia mwana wetu wa pekee akiwa mchanga zaidi kwani hata hakuwa na uwezo wa kumfahamu babaye.

 Alikuwa darasa la saba ambapo hali yake ilianza kubadilika sana. Maongezi yake yalibadilika pia kwani alianza kuwa mwenye ukali. Alisoma katika shule ya kulala katika mji wa Mombasa nami nilikaa mjini Nairobi. 

Tulionana naye kila mara shule zilipokuwa zinafungwa. Wakiwa katika mapumziko nilipata fursa ya kuzungumza naye kama mama yake na baba kwa wakati mmoja kwani mimi ndiye mzazi wake wa pekee niliyekuwa nimesalia.

Nilishangazwa wakati mmoja alipofunga shule na kuja nyumbani ambapo kila alipoenda kulala, sauti kama aliongea na mtu mwingine chumbani mwake ilisikika. Siku moja sauti hii ilikuwa imenichosha zaidi na nikajitwika jukumu la kunyemelea ili kubaini ni nini kilichokuwa kinaendelea kila mara.

Nilipofika mlangoni mahali alipokuwa akilala, niliona kweli alikuwa akijiongelesha na kutamka mambo ambayo mimi mwenyewe niliyahofia. Ama kwa hakika alikuwa ameshikwa na roho ambayo mimi mwenyewe sikuielewa. Alipiga ukuta makonde huku akitaja jina la babaye.

 Hali ile ilinitia hofu kama mamayake. Nilitafuta usaidizi ila ilielezwa kuwa alikuwa na angano la kuwa mfuasi wa kuabudu shetani. Hali ile haikutulia kamwe. Kila alipokuwa akienda kulala ilinibidi kupiga dua kwani matamshi aliyoyatoa yalikuwa yananitia wasiwasi.

Siku moja nilienda kwenye chumba chake na hapo nikajaribu kuchokora. Nilipata mikufu ya dhahabu na chupa iliyokuwa na kitu sampuli ya damu hivi. 

Nilishangazwa na hali ile na hapo nikaamua kumpigia mjomba wake simu ambaye alikuwa kaka yangu. Ilikuwa fika kwamba alikuwa kasha kula kiapo kuwa mfuasi wa dini nyingine ya kutisha.

 Kakayangu alifika usiku ule na hapo nikamweleza yote. Alinieleza kwamba daktari Kiwanga ambaye alikuwa mjini Kericho angepata suluhu la jambo lile kwani hapo awali alikuwa amefukuza nguvu za kishetani kwa mwanamke mmoja jirani yake.

 Alinipa nambari ya daktari Kiwanga na hapo nilimpigia simu. Siku iliyofuata tulienda kwenye Ofisi yake.Alisema kwamba kijana wangu alikuwa ameshaingizwa rasmi kwenye kuabudu shetani na mwalimu wake pale shuleni.

 Alimfanyia tambiko na pale aliropokwa yote. Baada ya muda mfupi hali ilikuwa sawa na akatupa hakikisho kwamba alikuwa amerudi kuwa sawa. Tulirejea nyumbani na hakika siku ile tulilala vizuri bila masumbuko yoyote.

Tangu siku ile kijana wangu alikuwa sawa na hapo nikambadilishia shule karibu na kwetu nyumbani. Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu maradhi ya zinaa kama vile Kisonono, Kaswende na mengineyo.

 Ana uwezo wa kufanya biashara yako inayokusumbua kunawiri na kuwa dhabiti hata zaidi. Pia ana uwezo wa kukuwezesha kuwa na nguvu.

Mawasiliano yake ni barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza

kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic