September 14, 2021


SIMULIZI ya wezi waliojisalimisha Polisi

Visa vya wizi wa magari vimekuwa vikiripotiwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali humu nchini Kenya. Kila wiki ningeweza kusikia habari kwenye Vyombo vya Habari kisa kimoja au viwili vikiripotiwa kuhusu wizi wa gari, jambo ambalo sikuchukulia kwa hadhi, kwani nilidhani ni uongo tuu.

 Ni hivi juzi ambapo niliweza kukumbana na wizi huo moja kwa moja baada ya gari langu aina ya Harrier kuibwa katikati ya jiji la Nairobi.

Vingi vya visa hivi huripotiwa kwenye vituo mbalimbali vya Polisi, bila kuzaa matunda kwani Polisi hutoa ahadi ya kwamba wangewanasa wezi wa magari hayo lakini kufikia sasa hakuna mtu yeyote aliyenaswa na kushtakiwa kwa tuhuma za wizi wa gari, japo visa vimekuwa vikiripotiwa kwa wingi.

 Ni juzi tu mmoja wa rafiki yangu aliweza kupokonywa gari lake na majambazi waliokuwa wamejihami kwa bunduki, katika barabara kuu ya Thika. Aliweza kuripoti kisa hicho katika kituo cha Polisi cha Kamukunji na kufikia sasa hakuna yoyote amenaswa wala gari lake kupatikana. 

Ameweza kuzunguka kwa vituo vingi vya polisi bila kuzaa matunda. Aliweza kunieleza hayo yote na kuniomba niwe mwangalifu ninapolitumia gari langu,ambalo nilikuwa nafanya biashara ya uchukuzi almaarufu Taxi.

 Kazi ambayo nimeweza kuifanya kwa mwaka mmoja sasa. Imeweza kuwa kitega uchumi changu pamoja na familia yangu. Niko na mtoto ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu na mwanamke, wote hao ni tegemezi.

Suala la kulipa karo na kuweza kushughulikia majukumu yote ya kinyumbani ikiwemo ununuzi wa bidhaa vyote bila kusita, yote hayo nimeweza kusaidiwa na biashara ya Taxi ambayo nimekuwa nikiifanya kwa mwaka mmoja sasa.

Kabla ya kisa cha kuibiwa gari kutokea niliweza kushuhudia kisa hicho ndotoni. Niliota kuwa majambazi wawili waliokuwa wamejihami kwa bunduki na vifaa vingine butu waliweza kunisimamisha barabarani na kudai kwamba walikuwa maofisa wa trafiki, kumbe yalikua madai ya uongo, waliweza kunifunga kwa pingu na kunipokonya gari na kutoweka, ndoto hiyo iliweza kunipa kiwewe kila wakati nikiwa kwa shughuli zangu za uchukuzi kila wakati.

 Niliweza kutilia maanani sheria za barabarani nisije nikasimamishwa na Polisi wa Usalama Barabarani ambao nilidhania kua ni majambazi kila nyakati nilikumbana nao barabarani.

Siku ya Ijumaa ningeweza kuifanya kazi vizuri, na ningependelea kuifanya kufikia nyakati za usiku wa manane. Kwani wengi wa wateja wetu wangetaka kusafirishwa kutoka majumbani mwao ama kufikishwa katika maeneo mbalimbali ya burudani kutumia Tax kwani zingeweza kuwafikisha maeneo yote waliyohitaji.

 Siku hii biashara zingekuwa safi sana na ningeweza kupata kipato cha juu sana cha fedha ikilinganishwa na siku nyingine za wiki. Ijumaa ya wiki iliyopita niliweza kurauka machweo kuianza kazi yangu ya kila siku ya uchukuzi, ambao niliifanya vyema na kwa ustadi kwa hofu niliyokuwa nayo kutokana na ndoto.

 Niliweza kuwasafirisha takriban wateja kumi na wawili katika maeneo mengi jijini Nairobi. Wengi wao niliweza kuwasafirisha kutoka maeneo ya burudani kuelekea majumbani mwao.

 Ilipotimia muda wa saa tano usiku, nilipokua nimeegesha gari langu, ghafla Wanaume wawili walifika nakutaka kusafirishwa maeneo ya Kahawa Magharibi takriban kilomita kumi kutoka jiji la Nairobi. 

Niliweza kuruhusu wito wao kwani waliweza kukubali kulipa kiwango chochote cha fedha ningeweza kuwaagiza walipe mwisho wa safari.Baada ya mwendo wa kilomita tatu hivi, wanaume hao walianza kuzungumza lugha ambayo sikuweza kuielewa.

 Muda baada ya muda wangeweza kupiga simu na kuongea kwa muda mrefu sana. Sikuwa na ufahamu wowote wa mambo waliokuwa wakiongelea na sikutaka kuwauliza kwani, ni uhuru wao kuzungumza na simu wakati wowote niwapo na abiria ndani ya gari.

 Moyoni nilikuwa na tashwishi nao kwani wengi waliopokonywa magari yao walilalama kuwa, waliowapora walikuwa na tabia za kuzungumza mara kwa mara kwenye simu. 

Tulipofika eneo Ndonyo kilomita chache kufikika mji wa kahawa,wawili hao walilalama ya kwamba walikuwa wanahitaji kuchimba dawa na wangetaka nisimamisha gari kando ya barabara ili wapate nafasi ya kwenda haja ndogo.

 Niliwakubali kufanya hivo kwa kudhani kwamba wangerejea baadaye tuendelee na safari. Ghafla Wanaume hao wawili hao walinivamia wakiwa na visu na bastola waliniagiza niondoke kwenye gari nikiwa nimeshikilia funguo za gari hilo mkononi.

Nilifanya hivyo kwa kuhofia maisha yangu, nilimkabidhi mmoja wa Wanaume hao funguo hizo mkononi, ila mwingine alinishika mashati na kunipokonya hela, wawili wote waliingia kwenye gari hilo na kutoweka.

Niliripoti kisa hicho kituo cha Polisi cha kahawa bila mafanikio. Siku moja nilipokuwa kwenye mtandao nilikumbana na wavuti www.kiwangadoctors.com baada ya kupitia nilifahamu kuwa walikua na uwezo wa kuipata mali iliyopotea, bila kusita niliichukua nambari yao na kuwapigia simu.

 Nilimweleza daktari Kiwanga yote yaliyotokea kuhusu gari langu na alinipa ahadi kuwa kwa siku mbili hivi wezi hao wangelirejesha gari hilo. Baada ya siku mbili Ofisa wa Polisi kutoka Kahawa alinipigia simu na kuniarifu niendee gari hilo kwani majambazi hao walijisalimisha pamoja na gari hilo. 

Hongera kwa madaktari wa Kiwanga, Madaktari hao pia hutibu magonjwa mbalimbali ikiwemo kifafa, kuvunjika mifupa mwilini, na kifua kikuu.

Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com. Simu +254 769404965 / E-mail-kiwangadoctors@gmail.com.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic