September 14, 2021

 


MANCHESTER City kwa sasa wanatajwa kuingia kwenye rada za kuinasa saini ya nyota Erling Haaland ambaye ni mali ya Borussia Dortmund. 

City inahitaji saini ya Haaland ili awe mbadala wa Kylian Mbappe ambaye inaonekana ni ngumu kwao kupata saini yake.

Mbali na City pia Liverpool nao wanamfuatilia nyota huyo wakiwa wanahitaji kuwa naye katika kikosi chao.

Ni kwa ajili ya hesabu za msimu ujao na hii ni kwa mujibu wa Glen Johnson beki wa zamani wa Liverpool.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic