September 11, 2021


SEPTEMBA 25 pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara linatarajiwa kufunguliwa na mchezo ambao unatarajiwa kupigwa ni ule wa Ngao ya Jamii kati ya mabingwa watetezi ambao ni Simba v Yanga utapigwa Uwanja wa Mkapa.

 Tayari ratiba imewekwa wazi na Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Almas Kasongo. Ni mechi 15 kila timu itacheza ikiwa nyumbani na 15 ugenini.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic