September 24, 2021


KLABU ya Simba leo Septemba 24 imesaini dili la miaka minne na kampuni ya Africacarriers wenye thamani ya shilingi milioni 800.

 Kupitia dili hilo refu mdhamini ametoa magari matatu ambapo moja ni kwa timu ya Wanaume, moja kwa Simba Queens pamoja na jingine kwa ajili ya U 17

Ni Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez ambaye amesaini kwa upande wa Simba na Zain Pirhai kwa upande wa wadhamini.

 

3 COMMENTS:

  1. Simba vitendo zaidi wengine blah blah nyingi zaidi, Asante Barbara.

    ReplyDelete
  2. Wapigana vikumbo kushirikiana na Simba kwakuwa timu yenye malengo nana kuaminika

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Uongozi wa Simba kwa ubunifu mzuri. Tunawapongeza na tunaendelea kuwa Simba.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic