September 19, 2021

UWANJA wa Mkapa leo Septemba 19, mashabiki wa Simba wamejitokeza wengi kwa ajili ya kushuhudia burudani tosha ambapo taarifa rasmi iliyotolewa na Simba imeeleza kuwa tiketi zimekwisha na ndani ya uwanja mashabiki ni wa kutosha

Ni kwenye tamasha la Simba Day ambalo litatumika kuwatambulisha wachezaji wa kikosi cha Simba kwa msimu wa 2021/22.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic