September 12, 2021

IKIWA tayari ratiba ya Ligi Kuu Bara ipo wazi na inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 27 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imeweka wazi kwamba kwa sasa haina mpango wa kuleta V.A.R na badala yake itawekeza kuwawezesha waamuzi kuwa na mawasiliano zaidi ili kuweza kupunguza changamoto za waamuzi wanaposimamia sheria 17 ni Mtendaji Mkuu wa TPLB, Almas Kasongo ambaye amefafanua mpango kazi ulivyo.  

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic