NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa yeye ni mtu wa kazi hasa uwanjani na sio manenomaneno kwa kuwa kati ya vitu ambavyo hapendi ni kuzungumza maneno mengi.
Pia amebainisha kuwa kwa namna ambavyo anakitambua kikosi cha Yanga anauhakika kuwa timu hiyo itakuja kuwa kubwa ndani ya Afrika licha ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kuhusu suala la matokeo uwanjani Nabi amesema kuwa hana uwezo wa kutabiri bali hilo anayejua ni Mungu.
Itakuwa kubwa etii?
ReplyDelete