VIDEO:SHANGWE LA YANGA NOMA, MASHABIKI SIMBA WAYEYUKA MAZIMA
ILIKUWA ni furaha kwa Wananchi, Yanga baada ya kutwaa taji la Ngao ya Jamii kwa kuwa mwanzo mwisho walikuwa wakishangilia baada ya kuitungua Simba bao 1-0, wakati wa kugawa zawadi mashabiki wa Simba walikuwa wameshasepa eneo la tukio kitambo Uwanja wa Mkapa.







Nice
ReplyDelete