VIDEO:SIKIA TAMBO ZA MTENDAJI MKUU WA SIMBA WAKATI WA KUMWAGA WINO DILI JIPYA SEPTEMBA 24, Uongozi wa Simba ukiongozwa na Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez uliweza kuingia mkataba na kampuni ya magari ya Africarriers wenye thamani ya milioni 800.Tambo za madam kama zote kuhusu dili hilo na sababu ya kupata.
Yupo vizuri Sana.
ReplyDeleteNashangaa hawwa wanaobeza
ReplyDeleteHao hawana sifa za kuibeza Simba ya kila namna ya mafafanikio iliyotambuliwa kimadola lakini wanajibeza wenyewe kwakuwa wansfeli kwa kila wakifanyacho
ReplyDeleteOta tu ukifikiri mtashindana na management iliyojitosheleza kama yetu
DeleteHongera mama kwa ubunifu uko makin na kaz yako unazihisha. Kuwa unauzoefu na kaz hiyo.
ReplyDelete