HUU hapa ni muonekano wa basi jipya la Simba kwa ajili ya timu ya Wanaume ambalo litatumika msimu wa 2021/22.
Basi hili ni moja kati ya yale matatu ambayo Simba imepewa kutoka kwa wadhamini wake Africarriers.
Lina siti za kutosha na kuna TV ndani, USB Cable pamoja na friji.








Simba bana raha sana...ngoja tuone na wao hawachelewi kuiga kwanini kila tunachofanya nao lazima wakifanye,tumeongeza benchi la ufundi nao wameiga,dah kweli ndo maana Morrison alisema Simba ni chuo cha soka kwa maana maujuzi yote ya Msimbazi,na leo tunawagonga vizuri tu
ReplyDeleteWewe mbona kilaza, hujaona la Yanga lenye rangi nyingi ya kijivu.. makoro kujikweza tuuu
Delete