September 13, 2021

BERNARD Morrison kiungo wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wapo na kikosi cha timu hiyo kwa sasa kambini Arusha ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2021/22.

 Tayari kikosi hicho kimezindua uzi mpya utakaotumika msimu mpya na Septemba 19, Uwanja wa Mkapa itakuwa ni tamasha la Simba Day siku itakayokuwa rasmi kutambulisha uzi wao pamoja na kikosi kazi kwa msimu wa 2021/22

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic