September 13, 2021


 UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa utarejea ukiwa imara kwa ajili ya mchezo wa marudio dhidi ya Rivers United unaoatajiwa kuchezwa Nigeria, Septemba 19.

Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilipoteza mchezo wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa kwa kukubali kuona ubao ukisoma Yanga 0-1 Rivers, United.

Mchezo wa pili unatarajiwa kuwa na ushindani kwa timu zote mbili kwa kuwa kila timu inasaka ushindi.

Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ameweka wazi kuwa wananafasi ya kufanya kwa ajili ya dakika 90 zilizobaki huku akiwaomba mabashabiki wa timu hiyo kuendelea kuwa bega kwa bega.

Pia kupitia Ukurasa rasmi wa Instagram wa Yanga wameandika ujumbe huu:"Jumapili hii ya 19/9/2021, tunashuka dimbani kwenye mchezo wetu wa marudiano wa kimataifa hatua ya awali dhidi ya Rivers United FC nchini Nigeria.


"Tutarudi tukiwa imara zaidi," .

9 COMMENTS:

  1. Don't judge me by my successes, but judge me by how many times I fell down and got back up again

    ReplyDelete
  2. Atakua na slogan ipi hko Nigeria Dar to Lagos au?

    ReplyDelete
  3. Kwa mpira upi, nyie ni utopolo tu

    ReplyDelete
  4. Ukwelikwamba timu haikopoa viongozi shikeni wajibuwenu kwahalihiii huko ilipokua kambi inawezekana tulipigwakweli

    ReplyDelete
  5. Mie simba lakini nakutakieni kila la kheri mujikadhe bado nafasi munayo musikate tamaa mupigane mpaka dakika za mwisho .simba ilijitahi mpaka tukaingia ijapo munatubeza lakini tumejitahidi sasa Zambia yenu mutubebe

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic