VIDEO:YANGA WANAAMINI WANAKWENDA KUPATA MATOKEO MBELE YA RIVERS UNITED
MZEE wa Utopolo ambaye ni moja ya shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa matokeo ambayo wameyapata jana Septemba 12 kwa kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Rivers United wanayapokea kwa kuwa hakuna ambacho kinaweza kubadilika na badala yake wanapaswa kubadili pale ambapo wamekosea huku wakiamini kwamba kwenye mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa nchini Nigeria watacheza tofauti na kupata matokeo chanya.
Mnakwenda kwa ndege spesho huku morali lazima iwe juu ya ushindi, lakini kwanza napendekeza mpate timu yenye nguvu ya kujipima bila ya kuogopa matokeo kama vile wafanyavo Simba
ReplyDelete