September 25, 2021

 


YANGA imetwaa taji la Ngao ya Jamii mbele ya watani zao wa jadi Simba katika mchezo uliokuwa na mvuto mkubwa.


Uwanja wa Mkapa mashabiki waliojitokeza kiasi chake na haikuwa nyomi ya kutisha zaidi ya mashabiki Yanga angalau walijitokeza kwa wingi.


Bao la ushindi limepachikwa na Fiston Mayele kwa shuti kali ambalo lilimzidi ujanja Aishi Manula kipa namba moja wa Simba.


Kiungo mkata umeme Taddeo Lwanga alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano.

9 COMMENTS:

  1. Wako wapi wale wabezaji wakubwa wa Yanga njooni ninkawaida yetu sisi kuifunga Simba ukisikia return of the champion ndio hii mukuje na povu na visababu vyenu uchwara

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmebahatisha msijisifu sana. Kwanza tumewaachia ili angalao mjifariji maana mlikua mnatia huruma sana kwa kukosa japo kombe la kuku

      Delete
    2. We kweli zinakutosha mwenyewe, kukimbizwa kote kule unasema wamebahatisha? Subiri muunganiko utakapokubali ndio utajua vizuri habari yenu kwisnei

      Delete
    3. Kwa hali ya timu ilivyo sasa tu kabla ya muunganiki ni homa kwao,labda tu huyo hazmtoshi kama usemavyo.

      Delete
  2. Mnarudi na basi lipi?mpya au ya zamani?

    ReplyDelete
  3. Admin amenuna timu yake imefungwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    ReplyDelete
  4. Mnyonge mnyonge I lakini haki yake mpeni,
    Hongereni utopolo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante misukule ya moo, cha muhimu adabu iwepo

      Delete
    2. Msijisahaulishe, huko nako kuna misukule ya GSM!

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic