YANGA imetwaa taji la Ngao ya Jamii mbele ya watani zao wa jadi Simba katika mchezo uliokuwa na mvuto mkubwa.
Uwanja wa Mkapa mashabiki waliojitokeza kiasi chake na haikuwa nyomi ya kutisha zaidi ya mashabiki Yanga angalau walijitokeza kwa wingi.
Bao la ushindi limepachikwa na Fiston Mayele kwa shuti kali ambalo lilimzidi ujanja Aishi Manula kipa namba moja wa Simba.
Kiungo mkata umeme Taddeo Lwanga alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano.








Wako wapi wale wabezaji wakubwa wa Yanga njooni ninkawaida yetu sisi kuifunga Simba ukisikia return of the champion ndio hii mukuje na povu na visababu vyenu uchwara
ReplyDeleteMmebahatisha msijisifu sana. Kwanza tumewaachia ili angalao mjifariji maana mlikua mnatia huruma sana kwa kukosa japo kombe la kuku
DeleteWe kweli zinakutosha mwenyewe, kukimbizwa kote kule unasema wamebahatisha? Subiri muunganiko utakapokubali ndio utajua vizuri habari yenu kwisnei
DeleteKwa hali ya timu ilivyo sasa tu kabla ya muunganiki ni homa kwao,labda tu huyo hazmtoshi kama usemavyo.
DeleteMnarudi na basi lipi?mpya au ya zamani?
ReplyDeleteAdmin amenuna timu yake imefungwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ReplyDeleteMnyonge mnyonge I lakini haki yake mpeni,
ReplyDeleteHongereni utopolo
Asante misukule ya moo, cha muhimu adabu iwepo
DeleteMsijisahaulishe, huko nako kuna misukule ya GSM!
Delete