KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinatarajiwa kuwafuata wapinzani wao Rivers Nigeria, Ijumaa Septemba 18 kwa ndege ya kukodi ambayo ni Air Tanzania.
Wanakwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mchezo wa marudio baada ya ule wa awali Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-1 Rivers United.
Ni Air Bus watatumia Wananchi na itawasubiri mpaka watakapomaliza mchezo. Hizi hapa picha ya ndege hiyo:-














Unachekesha, sasa kukodi hiyo ndege ya watanzania ndio wameamua kipi kigeni
ReplyDeleteIssue sio kwenda na ndege au daladala, issue ni kwenda kucheza na kupindua meza!
ReplyDelete... na mwandishi uache ushamba. Sidhani kama kupanda ndege ni kitu Cha kujivunia. Kwa Nigeria ni lazima safari itakua ya ndege tu Sasa picha zote ni za nini?
ReplyDeleteBora wangeandika wamenunuwa kuliko kukodi kama vile tunavokodi taxi
ReplyDeleteFact kabxa,, ingekuwa wamenunua kwaajili ya safari ya kwenda nigeria kweli,,, et kukodi!
DeleteUuh wabongo mlitaka nini,ndiyo ahsante mwandishi kutujuza tujue mwenendo wa timu yetu nje na ndani ya uwanja.
ReplyDeleteKuhusu mchezo ni issue nyingine rivers ni timu nzuri na yanga ni timu nzuri mwisho wa yote matokeo yapo ya aina tatu.
Wenye wivu wameshacoment 😂
ReplyDeleteWivu unaua muwaache wananchi wafanye yao.
ReplyDelete