KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Septemba 20 kimewasili salama katika ardhi ya Tanzania kikitokea nchini Nigeria.
Mabingwa hao mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara walikuwa wakipambana kwa ajili ya kupeperusha bendera kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
Deni lao kubwa ilikuwa ni kwenye kupindua meza kibabe mbele ya Rivers United kwa sababu katika mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-1 Rivers United hivyo walitakiwa kushinda mabao zaidi ya mawili.
Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Rivers United pia jana na mchezo ulipokamilika walianza safari kurudi Tanzania.
Ni Shirika la Ndege la Tanzania walitumia ndege bora na wameweza kurudi salama Tanzania leo Septemba 20.
"Mabengwa hao mara 27" ndicho na kilichobakia na tunangoja visingizio visivo mashikii
ReplyDeleteNi Bora YANGA iache kujitamkia Sifa za Ubingwa Kama Tukuyu Stars. Wacheze sasa Na kuchukua Ubingwa !
DeleteSIMBA Ni Bingwa mtetezi Mwaka 2021/2022
Tujipange upya tutaimarika tu! daima mbele nyuma mwiko.
ReplyDeleteKuna jitu lilitanda lakini mungu sio, athumani ikabidi lipewe cha moto
ReplyDeleteYanga alishapoteza kwa mkapa kule kugumu
ReplyDeleteNAMUNGO Na BIASHARA UNITED NI BORA KULIKO YANGA
ReplyDeleteLeo nimepata TAARIFA KUWA TIMU INAYOSTAHILI KUITWA MABINGWA WA KIHISTORIA NI TUKUYU STARS KWASABABU WALIPANDA DARAJA NA KUCHUKUA UBINGWA NA REKODI HIYO HAIJAWAHI KUVUNJWA MPAKA SASA !
ReplyDeleteMbona mnaropoka sana, zungumzieni kuhusu tiktaka kwa mkapa, etiii! Kwa mkapa hatoki mtuuuu
DeleteNzuri sana
ReplyDelete