SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limekutana na timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ili kufanyia kazi kasoro zote zilizojitokeza katika michezo ya awali.
Timu za Tanzania ambazo zinashiriki mashindano ya kimataifa ni Azam FC na Biashara United hizi ni kwenye Kombe la Shirikisho na Simba katika Ligi ya Mabingwa huku Yanga wao wakiwa wameshaaga mashindano baada ya kutolewa katika mchezo wa awali.
Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa kumekuwa Tanzania imepewa onyo kutokana na kuripotiwa matukio mengi kwenye vyumba vya kubadili nguo pale vilabu vinavyocheza mashindano ya kimataifa na masuala ya vipimo vya PCR.
Taarifa hiyo imeeleza hivi:-
makosa ya upotolo yasichanganywe na timu nyingine, Simba imeshiriki kimataifa miaka 4 mfululizo kulikuwa hamna malalamiko yoyote mwaka 2016 utopolo walipigwa faini.
ReplyDeleteTFF mmezidi kuwalea kila siku wanapitia mageti yasiyoruhusiwa ndio maana wanajisahau hadi kimataifa
tulishuhudia shabiki wa simba akipigwa na kuchaniwa jezi...TFF kimya ndiyo maana kocha wao Eymael aliwaita mbumbumbu kazi kubweka
DeleteYanga kichefuchefu siku nyingi Sasa walichokizaa kwenye soka letu ni aibu na TFF wanahusika kwani wamewadekeza mno. The return of champions imekuwa the return of Shame kwenye soka la Tanzania. Simba wamepambana vya kutosha kulibrand soka la Tanzania kuwa la kimataifa Zaidi ila kinakuja kajitimu kanashiriki kamechi kamoja tu cha champion league kinaharibu kila kitu. Ujinga huu kama ungetokea kwa Simba basi masikio ya mashabiki wa Simba na viongozi wao yangepasuka kwa kuzodolewa.Afisa habari wa Yanga Bumbuli alihojiwa wasafi halafu akajibu kipumbavu lakini kilichotokea wanamsifu eti he is very clever katika kujibu wakati kajibu pumba kabisa. Yanga haina ubavu wa kutushiana misuli na CAF na Yanga wakifanya masihara wanaweza kupotea mara moja kwenye ramani ya soka. Yanga waliletewa malalamiko na CAF lakini wao wakaichukulia poa kama waliwadharau CAF hivi labda walidhani ni TFF. YANGA wana kesi kadhaa bado za madai kule FIFA kutoka kwa wahudumu wao wa zamani yaani wachezaji na makocha. Pale Yanga malalamiko na na siasa za kijinga za nje ya Uwanja kwao ndio mpira.
DeleteUmesahau malalamiko ya Platinum waliyopeleka CAF? Vibwetere wengi
Deletemalofa sana hata issue ya Kibu Denis ingeweza kiigarimu Tanzania point..Unakata tawi la mti na ulipokaa ni upande ambao tawi litaangukia likikatika.haiitaji akili sana kifikiria..Ndiyo maana wanafeli kimataifa.Simba imecheza mechi nyingi... wao moja tu wakafungia wachezaji wengi korona feki...na kuwashambulia timu pinzani...utopolo bwana akili zao wanazijua wenyewe
ReplyDeleteTunasubiri mipasho maana upele umepata wakunaji.Mikia endelea kupasha mpaka hasira ya Mayele iwatoke
ReplyDeleteHili litimu la kishamba mno
ReplyDeleteNdio tatizo la kupeleka washamba kuwakilisha Nchi.
ReplyDeleteMshamba wewe kwani Nchi imeanza wewe ulipo barehe? Mkia wa mende.
ReplyDeleteMimi pale kwenye onyo la kwenye vyumba vya kubadirishia nguo kuwa pamekuwa na malalamiko yanayoripotiwa pindi Timu za Tanzania zinaposhiriki michuano ya CAF ,Kama umeelewa barua hapo utajua na umbumbu utakutoka .sawa Yanga wameadhibiwa Ila ,pamekuwepo na malalamiko kumbe hata kabla ya mchezo wa Yanga CAF Ina taarifa ( rejea hiyo barua ya Ndimbo paragraph ya mwisho) unless umesoma shule za kata Tuinuane.
ReplyDeleteEti ku brand soka la Tanzania unaandika insha kutoa hasira zako hapa Kuna branding danganya ndugu zako siyo kadamnasi .hii na Ile ya Uchumi wa Kati Ina tofauti gani kafa JPM hatusikii Tena.
ReplyDeleteCAF ni mbwa koko
ReplyDelete